Habari za Punde

*KASEBA AANZISHA LIGI YA MAPAMBANO YA KICK BOXER DAR, KUJIUZULU YAKIFANIKIWA

























Wanadada Pendo Njau (kulia) na Frola Machellah, wakitambiana wakati wa mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana, wanadada hao wanatarajia kuzichapa wakati wa mapambano yaliyoandaliwa na Bingwa wa Kick Boxer, Japhet Kaseba yanayotarajia kuanza Februari 27 mwaka huu kwenye ukumbi wa DDC Kondoa Magomeni.









Japhet Kaseba, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu mapambano hayo ya Kick Boxer, hatua ya awali, robo Fainali, Nusu Fainali na Fainali, ambapo mshindi ataibuka na Pikipiki yenye thamani ya Sh. milioni 6. Kwa mawasiliano zaidi kuhusiania na mapambano hayo ikiwa ni pamoja na upatikanaji wa tiketi, poga namba hii ya Bingwa huyo. 0713 548844.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.