Habari za Punde

*MKUTANO MKUU WA TFF, WAANZA LEO DAR














Rais wa Shilikisho la Soka nchini (TFF), Leodgar Tenga, akizungumza na
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Shilikisho hilo, ulioanza jijini Dar es Salaam
leo.


Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Soka TFF, wakiwa kwenye chumba cha mkutano huo ulioanza leo jijini. Kesho unatarajia kufanyika uchaguzi mdogo wa Shirikisho hilo (TFF) wa kuziba nafasi ya Makamu wa pili wa Rais na Mjumbe wa kamati ya utendaji Kanda ya Tano.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.