Habari za Punde

*RAIS JAKAYA KIKWETE ZIARANI JORDAN












Rais Jakaya Kikwete akipokelewa na Mfalme Abdullah II ibn Al
Hussein wa Jordan katika siku ya kwanza ya ziara yake ya kikazi nchini
humo.











Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifuatana na mwenyeji wake Mfalme Abdullah II ibn Al Hussein wa Jordan wakati akikagua gwaride lililoandaliwa kwa heshima yake jijini Amman.














Rais Jakaya Kikwete na mwenyeji wake Mfalme Abdullah wa Jordan
wakipokea salamu ya heshima wakati wa mapokezi rasmi mwanzoni mwa ziara
ya Rais Jakaya.










Jakaya na mwenyeji wake wakipita kukagua gwaride.





Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo ya faragha, tetea tete,na mwenyeji wake Mfalme Abdullah II ibn. Picha Zote na John Lukuwi wa MAELEZO

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.