Mshambuliaji wa Yanga, Robert Mba, akiruka kupiga kichwa katikati ya mabeki Zesco, wakatiwa mchezo wa kirafiki, uliochezwakwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam leo jioni. Timu hizo zilitoka suluhu kwa kufungana 1-1. Kesho Mahasimu wa Yanga, Wekundu wa Msimbazi watashuka dimbani kumenyana na African Lyon katika mchezo wa Ligi kuu ya Tanzania bara utakaochezwa kwenye Uwanja huo wa Uhuru.
Mshambuliaji wa Yanga chipukizi, Ally Msigwa, akiwania mpira na kipa wa Zesco, wakati wa mchezo wa kirafiki, uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment