Habari za Punde

*WAFANYAKAZI TRL WAVAMIA MAKAO MAKUU DAR

"Hatuondoki mpaka kieleweke, mkitaka tuuweni hapahapa"














Wafanyakazi wa Shirika la Tanzania Railways Limited (TRL) wakimgomea askari Polisi aliyewataka kuondoka eneo la Ofisi hiyo iliyopo mtaa wa Algeria Dar es Salaam leo, wakati walipokusanyika kwa lengo la kujua mustakabali wa kulipwa malimbikizo ya mishahara yao.

"Hawa jamaa ni wengi mno wakiamua kutuchenjia na mbwa wetu... tusiwachezee jamani"














Askari Polisi wakipanga mikakati ya kuwadhibiti Wafanyakazi wa TRL, walipokusanyika kwenye Makao makuu ya ofisi zao leo mchana, huku wakiwa na Mbwa na siraha za moto.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.