Habari za Punde

*WATANZANIA TUWE NA KAWAIDA YA KUZINGATIA TANGAZO


Kuonyesha ni jinsi gani watanzania hatuzingatii matangazo, pamoja na kubandikwa Tangazo linalozuia kukaa kwenye eneo hili katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, lakini bado walionekana watu kukaa katika eneo hilo. Lakini pia hata wanaotoa matangazo hayo bado hawazingatii umuhimu Wa Tangazo kwa kuandika kwa umakini ili liweze kusomeka na kueleweka ambapo ni vigumu kwa mtu kusoma na kuelewa anachokisoma, jambo ambalo linaweza kuleta utata iwapo anaweza kukamatwa na kuulizwa iwapo hajaona tangazao hilo. Tanzazo hilo limeandika NI MARUKU KUKAA HAPA badala ya NI MARUFUKU KUAKAA HAPA.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.