Habari za Punde

*BENKI YA NMB YAZINDUA HUDUMA MPYA YA MOBILE MONEY TRANSIFER


Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki ya NMB, Amman Kajula (kushoto) akitoa maelezo ya jinsi ya kutumia huduma mpya, wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Utumaji pesa kwa kutumia huduma ya NMB Mobile (NMB Mobile Money Transifer) iliyozinduliwa jijini Dar es Salaam leo . Kulia ni Meneja Masoko wa Benki hiyo, Shillah Senkoro.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.