Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, George Mkuchika, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam, wakati alipokuwa akizindua rasmi Bodi ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali
Wizara ya Afya yazindua Kampeni ya uzazi wa mpango.
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Aisha Kigoda, akizindua Kampeni ya kuhamasisha matumizi sahihi ya njia za uzazi wa mpango iliyoandaliwa na Shirika lisilokuwa la Kiserikali la PSI jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Shirika hilo Daniel Crapper na katikati ni Mkurugenzi wa ushirikiano wa Shirika hilo Mary Mwanjelwa.
No comments:
Post a Comment