Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Balozi Juma Mwapachu (wapili kushoto) akizungumza na Wahadhili kutoka Vyuo Vikuu vya Barani Ulaya nabaadhi ya wanafunzi wa elimu ya juu kutoka Vyuo vya hivyo na Afrika Mashariki, wakati wa Mkutano wa kujadili kazi za utafiti zilizofanywa na wanafunzi hao chini ya usimamizi wa Wahadhili hao jana mjini Arusha. Wengine ni ProfessaChacha Nyaigoti wa Inter –University Council for East Afrika (IUCEA) na Ofisawa Ubalozi wa Ufaransa nchini anayeshughulikia masuala ya Sayansi na Elimu yaJuu, Jihane Giraud. Picha na Eliya Mbonea. Arusha
No comments:
Post a Comment