Rais Jakaya Kikwete, akipiga picha ya kumbukumbu pamoja na baadhi ya wenyeviti, viongozi wa Vyama vya Siasa, na baadhi ya Mawaziri na viongozi wa Kamati za Bunge, wakati wa hafla ya kuweka saini Sheria ya matumizi ya gharama za fedha za uchaguzi iliyofanyika katika Viwanja Ikulu, Dar es Salaam leo.
TaSUBa YATOA WAHITIMU 234, WAHIMIZWA KUEPUKA CHUKI NA VURUGU
-
Na MWANDISHI WETU, Bagamoyo
WAHITIMU wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), wamehimizwa
kuilinda amani nchini.
Akizungumza katika Mahafali ya...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment