Habari za Punde

*MKULO APIGWA JEKI NA TOYOTA LTD, KATIKA JIMBO LAKE LA KILOSA


Warizi wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo (katikati) akipokea sehemu ya msaada wa magodoro na branketi wenye thamani ya Sh. Milini 7.5, kutoka kwa Mwenyekiti wa Kampuni ya Tanzania Toyota Limited, Hatim Karimjee, kwa ajili ya wananchi wa Kilosa waliokumbwa na mafuriko hivi karibuni. Hafla hiyo fupi ya makabidhiano hayo ilifanyika leo, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.