Mlezi wa Chama cha Wapigapicha za Habari Tanzania, Rais Jakaya Kikwete, akijaribu kupiga picha Ikulu Dar es Salaam jana kwa kutumia kamera ya mpiga picha wa Jambo Leo, Richard Mwaikenda (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa sherehe za kuapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Malawi na makatibu tawala mkoa wanne.
TANFOAM MARATHON ARUSHA YAZINDULIWA RASMI KWA MSIMU WA PILI
-
Na Pamela Mollel, Arusha
Mashindano ya Tanfoam Marathon yamezinduliwa rasmi kwa msimu wa pili,
yakitarajiwa kufanyika tarehe 7 Desemba 2025 jijini Arus...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment