Habari za Punde

*WANAFUNZI WA SEKONDARI SANDO RESCUE HIGH SCHOOL YA SWEDEN, KATIKA ZIARA UHURU MCHANGANYIKO DAR














Mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Sando Rescue High School ya nchini Sweden, akigawa mpira kwa wanafunzi wa Shule ya uhuru Mchanganyiko, wakati wakiwa katika Ziara yao shuleni hapo juzi.

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Sando ‘Rescue High School’, ya nchini Sweden, wakiwa katika shule ya Uhuru mchanganyiko, wakati wakiwa katika ziara ya kutembelea wanafunzi wa shule hiyo wenye ulemavu juzi.


Wanafunzi hao wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Uhuru Mchanganyiko, mara baada ya kumaliza ziara yao shuleni hapo.
*Viongozi bora huanza katika hatua kama hizi.......




Mwalimu wa shule ya awali ya Lady Chesham English Medium Oysterbay, Neema Joseph, akimfundisha mwanafunzi wake, Maria Nicholaus, wakati wa muda wa masomo kipindi cha kujifunza kuandika.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.