Mwenyekiti wa Bodi ya benki ya KCB, Mhe Janet Mbene akikabidhi sehemu ya msaada wa vyakula na vitu mbalimbali ikiwa ni zawadi ya sikukuu ya Pasaka kwa watoto yatima wa kituo cha Mbagala Yatima Group Trust Fund kituoni hapo, Mbagala, Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa KCB, Christina Manyenye, Mwenyekiti wa kituo hicho, Winfrida Lubanza na Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Joram Kiarie.
Tanzania na Rwanda Zaimarisha Ushirikiano: Biashara, Nishati na Udugu wa
Kihistoria Wawekwa Mbele
-
Na Janeth Raphael- MichuziTv
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan,
amesisitiza kuwa uhusiano kati ya Tanzania na Rwanda haui...
10 hours ago
No comments:
Post a Comment