Habari za Punde

*MAJAMBAZI WALIOPORA FEDHA NA VOCHA WAKAMATWA TANDALE

"Inawezekana ripo hapa hapa mpaka turitoe humu reo"...














Askari Polisi, akiwa na siraha huku akiwa makini kuangalia kutupa macho ndani ya chaka la majani walikojificha majambazi waliopora fedha na Vocha Mwananyamala Dar es Salaam leo asubuhi na kukimbilia eneo hilo la Tandale na baadaye kukamatwa katika kichaka hicho na kupelekwa kituo cha polisi cha Kati.

Baadhi ya raia waliotoa ushirikiano katika kuwatafuta majambazi hao, wakiwa eneo la tukio. Lakini imeelezwa kuwa baadhi ya raia hao walikatiwa kidau na mmoja wa majambazi hao na kumtorosha kwa kumuonyesha njia ya kutolokea.



Askari wakiendelea kulinda eneo hilo, wakati wakisubiri Mbwa wa Polisi wa kunusa, waliofuatwa kwa ajili ya kazi hiyo ili kuwatoa majambazi hao waliojificha katikati ya kichaka chenye maji na matope.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.