Habari za Punde

*TUNAWEZA BAND KUANZA VITU VYAKE HIVI KARIBUNI















Mlezi wa Bendi ya Walemavu ya Tunaweza, Isiaka Kibene, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana, wakati wa kutangaza nia yake ya kuwasaidia walemavu hao kwa kuwanunulia vyombo vya muziki.



Baadhi ya wanamuziki wanaounda bendi ya walemavu ya Tunaweza, wakiwa katika picha ya pamoja na mdhamini wao, Isiaka Kibene (kulia) na Mkurugenzi wa bendi hiyo, Masoud Wanani, (wapili kulia) mara baada ya mkutano na waandishi wa habari Dar es Saalaam leo wakati wakitangaza kukabidhiwa vyombo vya muziki na mdhamini wao.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.