Habari za Punde

*MAJEMBE AUCTION MART NAO KAMA 'TIGO'

"Haroo siamama tukukague, kwa nini rinapita huku Tandale"













Jamaa hawa nao wanajifanya kama askari wa doria 'Tigo' kama unavyowaona eti wakimpa pande dereva wa daladala, ili kumkagua.












Wafanyakazi wa Kampuni wa Majembe Auction Mart, wakimkemea dereva wa gari la abiria linalofanya safari zake Mwenge Kariakoo, lililokuwa limebeba Wafanyakaza'Staff', wakati likipita katika barabara ya Tandale Dar es Salaam jana, wakidai kuwa ni kosa gari hilo kupita njia tofauti na ruti zake hata kama limekodishwa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.