Naniliu akishuka kwenye gari lao kuelekea kulamba Ice na Henry magumo, 'Kazi na Dawa'
Hapa wakianza kulamba Ice ka raha zao, ghafla ........
"Hata ukipiga miayo sikupi ng'ooooo, si uko na hako kashkaji njoo ununue"
Waandishi wa habari wa ITV, Henry Magumo na Z Naniliu, wakijiburudisha na ICE CREAM, katikati ya jiji la Dar es Salaam leo mchana. Kulia kwao ni mshkaji na mzungu aliyeonekana kuwatamani kama si kutamani Ice Cream hizo huku akipiga miayo ya ajabu na kumfanya Henry kuacha kuendelea na zoezi la kulamba ice na kumshangaa.
No comments:
Post a Comment