Habari za Punde

*MAMA SALMA ASHEREHESHA UTEPE MWEUPE MTWARA, AZINDUA WODO NO, 10














Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete, akifungua jiwe la msingi ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wodi namba 10, katika hospitali ya mkoa wa Mtwara Ligula, wakati wa sherehe za kuazimisha
utepe mweupe zilizofanyika kitaifa mjini mtwara leo. Picha Zote na John Lukuwi-MAELEZO













Mama Salma Kikwete, akiwahutubia mamia ya wananchi wa Manispaa ya Mtwara waliohudhuria katika siku ya sherehe za utepe mweupe tarehe.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.