Mshiriki wa Big Brother Africa, Tatiana Durao (katikati) akiwa na Meneja wake, Alice Mutumba (kulia) na Msaidizi wake, Ana Antonio, baada ya kumaliza mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, ambapo litangaza kuwa amefika nchini kwa ajili ya kurekodi kipindi chake kitakachokuwa kikirushwa na Kituo cha MNET , kiitwacho 'Every Body Loves Me'.
CRDB YAADHIMISHA MEI MOSI KITAIFA NJOMBE
-
*Na Mwandishi Wetu*
*Njombe. CRDB Bank Plc imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuunga mkono
wafanyakazi na maendeleo ya taifa kwa kudhamini na kushirik...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment