Habari za Punde

*WAZIRI MKUU WA FINLAND ATUA JIJINI DAR

"Duh! huyu jamaa nae hafiki, nimechokaaaaaaaa"














Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (katikati) akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe na Mkuu wa Mkoa, William Lukuvi (kulia), wakati wakisubiri kumpokea Waziri Mkuu wa Finland, Matti Vanhanen, aliyewasili kwenye Uwanja wa ndege jijini Dar es Salaam leo.
"Kaka jamaa wamekuona unapiga miayo, vumilia karibu ndege inatua kaka"











Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kulia) akinong'onezwa jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe.













Wasanii wa kundi la Matarumbeta la Mount Usambara, wakitoa burudani kwenye Uwanja wa ndege wakati wakisubiri kumpokea waziri Mkuu wa Finland.













Waziri Mkuu wa Finland, Matti Vanhanen (nyuma) akiangalia ngoma ya asli ya Mgodo kutoka Mkoa wa Pwani, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa jijini Dar es Salaam leo mchana.













Waziri Mkuu wa Finland, akiendelea kushangaa vionjo vya ngoma za asili za Kibongo.













Kundi la matarumbeta la Mount Usambara, likimpagawisha, Waziri Mkuu wa Finland, Matti Vanhanen.













Waziri Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda, akimuongoza Waziri Mkuu wa Finland, Matti Vanhanen, kuelekea kwenye magari tayari kwa kuanza msafara kuelekea maeneo ya katikati ya jiji.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.