Habari za Punde

*LUKUVI AFUNGUA KONGAMANO LA MAASKOFU DAR














Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, William Lukuvi, akizungumza wakati alipokuwa akifungua kongamano la Maaskofu la kujadili Uadilifu, Uwajibikaji na Uwazi ili kuboresha Utawala Bora, lililofunguliwa leo.


Askofu Methodius Kilain, akisisitiza jamabo muda mfupi baada ya kufunguliwa kwa Kongamano la maaskofu kuhusu uadilifu, uwajibikaji na uwazi ili kuboresha Utawala Bora, lililofunguliwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam William Lukuvi.



Mkuu wa Mkoa, William Lukuvi, akipiga picha ya pamoja na Maaskofu waliohudhulia Kongamano hilo kwenye Ukumbi wa baraza la Maaskofu Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.