Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim, Sabetha Mwambenja, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mafanikio ya benki hiyo na huduma ya kadi mpya VISA PLATINUM yenye uwezo wa kutoa fedha popote Duniani. Kuliani Mkurugenzi Mkuu wa benki hiyo, Dinesh Arora.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim, Sabetha Mwambenja, akionyesha aina nyingine ya kadi ya benki hiyo, yenye uwezo wa kutoa fedha ndani na nje ya nchi ya Tanzania.
*MVUA YATESA WATU DAR LEO
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim, Sabetha Mwambenja, akionyesha aina nyingine ya kadi ya benki hiyo, yenye uwezo wa kutoa fedha ndani na nje ya nchi ya Tanzania.
*MVUA YATESA WATU DAR LEO
Pamoja na Manispaa za jiji la Dar es Salaam kujitahidi kuboresha Miundombinu katika baadhi ya maeneo ya jiji, lakini bado baadhi ya ofisi za jijini huwa kero kwa kujaa maji na kuwafanya wananchi wanaofika katika ofisi hizo kukosa mahala pa kupita kuingia ama kutoka
eneo hili si jingine bali ni jengo la Kitega Uchumi likiwa limejaa maji katika lango kuu la kuingilia na kutokea na kuwafanya wakazi wa jijini kuhangaika kama anavyoonekana jamaa huyu akihaha kupita juu ya mawe ambayo nayo yaliondolewa mahala hapo na vijana ili kujipatia ajira ya kubeba watu kwa fedha na kuacha jiwe moja ambalo lilisababisha usumbufu na msongamanomkubwa mahala hapo.
No comments:
Post a Comment