"Asante sana tiGO kwa kuijali Jamii"
*ZANTEL YAKABIDHI ZAWADI ZA WASHINDI WA CHOMOKA NA VYOMBO, CHOMOKA NA PIKIPIKI MIKOA YA MWANZA NA MARA. 
Mussa Emmanuel kutoka Sengerema Mkoani Mwanza, akifurahia zawadi ya Pikipiki baada ya kukabidhiwa zawadi hiyo, aliyojishindia katika Promosheni kabambe ya ‘Chomoka na Pikipiki’ inayoendelea kwa wakazi wa Mikoa ya Mwanza na Mara, wakati wa zoezi la kukabidhi zawadi za washindi zilizofanyika mwishoni mwa wiki Mkoani Mwanza.

No comments:
Post a Comment