Ukiwa kama mzazi unapoondoka nyumbani asubuhi kuelekea katika shughuli zako ukiwa na fedha za matumizi katika mkoba wako huku ukijiamini na ukihitaji kufanya lolote katika fedha ulizonazo, lakini unapotoka nje ya nyumba yako kuelekea kazini iwapo wewe ni mpenzi na ndege wanyama unaokuwa ukiwafuga, basi jihadhali na tukio kama hili lililomtokea mama huyu, ambaye alichomolewa fedha katika mkoba wake na mfogo wake kabla hata ya kuondoka eneo la nyumbani. Kwa bahati mbaya unapofika huko uendako huoni fedha zako naamini utaanza kulaumu na kuwashuku watu waliokuzunguka kwa wakati huo kumbe tatizo limeanzia nyumbani kwako. Tuwe makini na mifugo yetu nayo huitaji fedha jamani. Hebu mcheki Bata huyu anavyochomo midola kwenye mkoba wa Mama mwenye nyumba wake bila yeye kushtukia kitu.
WAZIRI CHANA AZINDUA MIRADI YA UTALII YA MILIONI 904 SERENGETI
-
Na Jane Edward, Serengeti
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua
miradi ya kuendeleza utalii ikiwemo Mradi y...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment