Habari za Punde

*CCM KATA YA SINZA D WAHAKIKI KADI ZA WANACHAMA KUELEKEA UCHAGUZI WA KURA ZA MAONI

Wajumbe CCM wa Halmashauri Kuu Kata ya Sinza D wakihakiki wanachama wa Tawi hilo ili kuwaingiza katika daftari la kudumu la wapiga kura ikiwa ni maandalizi ya kupiga kura za maoni kutafuta Diwani na Mbunge katika uchaguzi unaotarajia kufanyika Agost 8 mwaka huu, ambapo mwisho wa kuhakiki ni Juni 30 mwaka huu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.