
Right kama madereva wote wangekuwa na akili kama za madereva wa magari haya, nahisi sero na jera zingekuwa zimejaa madereva pekee, na pia sizani kama katika miji mikubwa kungekuwa na bustani nzuri katikati ya barabara. Kama unavyoona we mtembeleaji wa kurasa ya Sufianimafoto madereva hawa wakikatiza barabara sehemu ambayo haina U tan ili kuingia Mtaa wa Kisutu badala ya kwenda hadi kwenye mataa ya Bibi titi, Je Huu ni uungwana kweli? na je wakikamatwa na kuandikiwa kulipa faini watamlaumu nani? Madereva tujaribu kufikiri mara mbili tuwapo barabara kabla ya kutenda.
No comments:
Post a Comment