Habari za Punde

*MKUTANO WA KIUCHUMI WA DUNIA WAZUA BALAA JIJINI DAR ES SALAAM.

Kituo hiki cha daladala cha Mwenge ni nadra sana kukuta kikiwa kitupu hakina magari kama kinavyoonekana, na hasa mida ya asubuhi, lakini kutokana na ujio wa viongozi wa mataifa mbalimbali wanaohudhulia mkutano wa Kiuchumi wa dunia, abiria wengi wamekuwa wakipata taabu ya usafikama wanavyonekana abiria hawa wakiwa katika Kituo cha Mwenge wakisubiri usafiri, huku magari mengi yakiwa yamekwama katika foleni kutokana na misafara ya viongozi hao, Mkutano huo umeanza jijini Dare es Salaam leo na unatarajia kumalizika siku ya Ijumaa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.