
Meneja Masoko wa Kampuni ya simu za mkononi Zantel, William Mpinga (katikati), akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa kuchezesha Droo ya Promosheni ya ‘Dondoka South’ ya kumsaka mshindi wa 3, ambapo alipatikana Asha Ali, (50) mkazi wa Wete Pemba, atakayekwenda kushuhudia mchezo wa robo fainali za Kombe la Dunia. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mauzo Cha Kampuni ya Hyundai, Anthony Nyeupe (kushoto) ni Msimamizi kutoka Bodi ya michezo ya kubahatisha Tanzania, Mrisho Millao.

Meneja Masoko wa Kampuni ya Simu za mkononi Zantel, William Mpinga, akipiga simu kwa mshindi wa 3 wa Droo ya Promosheni ya ‘Dondoka South’, ambapo alipatikana Asha Ali, (50) mkazi wa Wete Pemba, atakayekwenda kushuhudia mchezo war obo fainali za Kombe la Dunia. Katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Mauzo Cha Kampuni ya Hyundai, Anthony Nyeupe (kushoto) ni Msimamizi kutoka Bodi ya michezo ya kubahatisha Tanzania, Mrisho Millao.
No comments:
Post a Comment