Habari za Punde

*KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI NA MICHEZO AKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI DAR

Katibu mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo, Seith Kamuhanda, akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari Dar es Salaam leo mchana, wakati alipokutana na wahariri hao kwa lengo la kufahamiana na kuboresha ubora wa habari za vyombo hivyo.
Kutoka (kulia) ni Mkurugenzi wa Redio One, Deo Rweyunga, Mhariri Mtendaji wa New Habari (2006) Ltd, Muhingo Rweyemamu na Mhariri wa gazeti la The African, Shermax Ngahemera wakiwa katika mkutano huo wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo , Seith Kamuhanda.

Katibu Mkuu, Seith Kamuhanda, akizungumza na wahariri....

Hawa ni baadhi ya wahariri kutoka vyombo mbalimbali wakiwa katika mkutano huo.




No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.