Habari za Punde

KILELE CHA SIKU YA UTAMADUNI SINGIDA.

Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo George Mkuchika (kulia) akipata maelezo kutoka kwa msanii na mchongaji Bi. Mwandale Mwanyekwa (kushoto) kuhusu vifaaa mbalimbali yakiwemo mabegi, mikufufu na bangili za wanawake zinazotengezwa kwa vitu vya asili leo wakati wa sherehe za maadhimisho ya kilele cha siku ya Utamaduni Duniani inayoadhimishwa kitaifa katika uwanja wa Mandela mkoani Singida. PICHA NA ARON MSIGWA-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.