Habari za Punde

*MAGEREZA WAKABIDHIWA MAGARI MAPYA YA KUBEBEA MAHABUSU

Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Oliver Mhaiki (kushoto) akimkabidhi funguo za mabasi mawili ya kubebea mahabusu na wafungwa, Kamishna Mkuu wa Magereza nchini, Augustino Nanyaro,wakati wa hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika Makao Makuu ya jeshi hilo, Dar es Salaam leo mchana. Serikali kupitia Programu ya Maboresho ya Sekta ya Sheria (LSRP), imekabidhi mabasi hayo yenye thamani ya shilingi milioni 320 kwa jeshi hilo kwa lengo la kusaidia kusafirishia mahabusu.

Baadhi ya Maofisa wa jeshi la Magereza, wakipiga picha ya kumbukumbu baada ya makabidhiano hayo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.