*Mwenyekiti ajichukuliwa 'madaraka' auza maeneo kinyemela
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Mtoni Mbezi Juu jijini Dar es Salaam, aliyetambulika kwa jina moja la Jose (kulia) akiwaonyesha wateja wake ambao walifika kwa lengo la kuonyeshwa maeneo ili kununua. Pia msingi huo unaoonekana pichani ni jengo hilo ni msingi unaoelezwa kuwa umejengwa na Mwenyekiti huyo akidai ni Hospitali ya milioni 20 kama ilivyokuwa imeamuliwa na wanakijiji, angalizo ni kwamba baadaye asije kuwageuka tu na kuwaambia kuwa alikuwa akijenga frem zake za biashara hali ya kuwa pesa anazotumia ni kati ya alizouza viwanja hivyo.
"TUNACHUKUA CHETU MAPEMA".
Vijana wa Mbezi Juu kwa Sanya jijini Dar es Salaam, wakijipimia maeneo ili kujimikisha baada ya Mwenyekiti wao wa serikali ya mtaa, ambaye imeelezwa amekuwa akijichukulia maamuzi binafsi na kuuza maeneo hayo bila kuwashirikisha wananchi, hali ya kuwa eneo hilo lilikwisha tengwa na wanakijiji hao kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali na mambo mengine ya Maendeleo.
"Wacha na mie nijisevie kijieneo hiki"
No comments:
Post a Comment