
Mtaalam wa Mekap (kushoto) akiwalemba warembo wanaotarajia kushiriki katika kinyang'anyiro cha kumsaka Miss IFM 2010, wakati wakijiandaa kukutana na waandishi wa habari kwenye Ukumbi wa Mgahawa wa Breack Point Posta mpya leo mchana kwa ajili ya kutangaza shindano hilo.

Mmoja kati ya warembo hao akiwa hajiamini kama tayari uso wake umewekwa sawa kwa kukutana na waandishi wa habari baada ya kulembwa na mtaalam, akijichek katika kioo kujihakiki.

Mtaalam huyo akiendelea na zoezi la kuwaanda warembo hao kwa mekap.

Baadhi ya Warembo wanaotarajia kushiriki katika shindano la kumsaka Miss IFM 2010, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mkutano na waandishi wa habari Dar es salaam leo. Shindano hilo linatarajia kufanyika mwishoni mwan wiki hii katika ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment