Habari za Punde

RAIS JAKAYA KIKWETE AKITANA NA NAIBU WAZIRI MKUU WA KOREA

Rais Jakaya Kikwete akimsalimia na kumkaribisha Ikulu kwa mazungumzo Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea Mheshimiwa Park Young, jana. Picha na JOHN LUKUWI -MAELEZO

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.