Habari za Punde

*SERIKALI YASAINI MKATABA WA MSAADA WA CHAKULA WA SH. BILIONI 13.8

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Uchumi, Ramadhani Khijja (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa hafla ya kusani mkataba wa msaada wa chakula chenye thamani ya Sh bilioni 13.8 kutoka Serikali ya Japani wakati wa hafla hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Balozi wa Japani nchini Heroshi Nakagawa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.