Habari za Punde

*KAMPUNI YA CHAI BORA YAPATA TUZO

Mwakilishi wa Shirika la Viwango Afrika Mashariki, Andrew Kinyanjui (kulia) akimkabidhi tuzo ya ISO 22, 000 Meneja wa Kampuni ya Chai Bora, David Gachoki (kushoto) wakati wa hafla fupi ya kukabidhi tuzo hizo iliyofanyika, Dar es Salaam jana jioni. Katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Sophia Kaduma.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.