Habari za Punde

*TIGO YAZINDUA PROMOSHENI MPYA YA JIKOKI NA tiGO

Ofisa Uhusiani wa Kampuni ya Simu za mkononi Tigo, Jackson Mmbando, akionyesha moja kati ya zawadi zitakazokuwa zikitolewa kwa washindi wa Promosheni ya 'Jikoki na Tigo' wakati akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuzindua Promosheni mpya ya ‘Jikoki na Tigo’ inayomwezesha mteja wa mtandao huo kujishindia zawadi mbalimbali, muda wa maongezi pamoja fedha taslim. Kulia ni Ofisa Viwango wa Tigo, David Zacharia.



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.