Habari za Punde

*WAZIRI MKUU, AFANYA MAZUNGUMZO NA TANGANYIKA LAW SOCIETY

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akizungumza na
Viongozi wa Tanganyika Law Society, wakati walipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam jana kwa ajili ya mazungumzo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
*MAMA PINDA AKABIDHI MSAADA WA SH. MILIONI 6 MAAFA YA KILOSA
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda (kushoto)
akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Kilosa , Halima Dendego, mchango
wa Shilingi milioni sita ikiwa ni mchango wa wafanyakazi wa Ofisi
ya Waziri Mkuu kwa ajili ya wanachi wa wilaya hiyo waliokumbwa
na mafa ya mafuriko hivi karibuni. Makabidhiano hayo yaliyofanyika
kwnye makazi ya Waziri Mkuu jijijni Dar es salaam jana, ambapo
Mama Pinda pia alikabidhi nguo, sabuni na viatu. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.