Habari za Punde

*AFA KWA KUGONGWA NA KICHWA CHA TRENI DAR

Askari wa usalama barabarani akiangalia mwili wa mkazi wa jiji
la Dar es Salaam ambaye hakuweza kufahamika mapema baada ya
kugongwa na kichwa cha Treni katika eneo la Daraja la Keko,leo
mchana. Imeelezwa kuwa kijana huyo alikuwa akiishi karibu kabisa
na eneo hilo ambapo aligeuza eneo hilo kuwa maskani yake ya
kudumu, akifanya shughuli zote na kulala chini ya daraja hilo
kama nyumbani kwake.

Wakazi wa maeneo hayo wakiangalia mwili huo.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.