Habari za Punde

*CHUO CHA UREMBO CHAFUNGULIWA DAR

Mratibu wa Jinsia kutoka Wizara ya Elimu, Winifrida Rutahindurwa, akisoma hotuba yake kwa niaba ya Waziri Mwantum Mahiza, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Chuo cha Urembo kinachofunguliwa jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo ya uzinduzi ilifanyika kwenye Hoteli ya Double Tree Masaki leo mchana.

Mshauri Mkuu wa Chuo hicho, Hanif Virani, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa hafla hiyo.

Mkuu wa Chuo hicho, Yasmin Shariff, akisoma hotuba ya ufunguzi wa hafla hiyo.

Baadhi ya wageni waalikwa na waandishi wa habari, waliohudhulia hafla hiyo, akisikiliza hotuba ya mgeni rasmi
Hata burudani pia ilikuwapo kuhakikisha uzinduzi huo unakwenda sawa, Kulia ni Mafumu Bilali Bombenga 'Super Sax', akionyesha umahiri wake wa kupuliza Saxaphone na mpiga solo wake, John Seif, wakiiwakilisha vilivyo bendi yao ya African Beat, iliyokuwa ikitoa burudani katika hafla hiyo.





No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.