Habari za Punde

*KUMBE NA WADOSI NAO WANAKULA CHIPS DUME

Ebwana sikuweza kuamini kumuona mdosi huyu alipokuwa kitoa minoti kwenye wareti yake ili kumlipa muuza mihogo ya kuchoma katika mtaa wa Samora dar es Salaam leo mchana, jamaa akijisevia mihogo kama kawaida eti baadaye maji tu poooooowa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.