BIG UP KWA KAMPUNI ILIYOJITOLEA KUJENGA VIFAA HIVI VYA KUHIFADHI TAKA KATIKATI YA JIJINI
Iwapo yatajitokeza makampuni mbalimbali na kuamua kujenga vifaa kama hivi vya kuhifadhia taka katika maeneo ya jijini, basi angalau tatizo la utupaji taka hovyo linaweza kupungua kwani hata ungekuwa ni wewe unaweza kuwa ukijionea aibu kutupa hata kipisi cha sigara wakati unajua kuwa katika safari yako mbele waweza kukutana na kifaa kama hiki na kuhifadhi uchafu. hiki ni kifaa kilichojengwa karibu na jengo la Sukari House mitaa ya Posta Mpya jijini Dar es Salaam, ambapo katika barabara hiyo vimejengwa vijidude kama hivi kadha. Wananchi wakiwezeshwa wanaweza japo utamaduni huo haupo tangu awali...
Sh bilioni 4.5 zatumika kuichokonoa Tanzania
-
Serikali imefichua kuwa chokochoko na vurugu zinazoendelea nchini zimeletwa
na wanaharakati wanaolipwa kwa lengo la kuharibu uchumi wa nchi na
kurudisha...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment