WATOTO WANAHITAJI URITHI WA MAISHA AMBAO NI ELIMU

Wanafunzi wa Darasa la saba katika Shule ya Msingi ya Muhimbili jijini Dar es Salaam, wakiangalia na kujisomea vitabu katika banda la Oxford University Press, wakati wa maonyesho ya siku mbili ya Elimu na Taaluma Tanzania, yaliyoandaliwa na Kampuni ya Tripod Media, yaliyomalizika leo kwenye Ukumbi wa Diamondi Jubilee jijini. Kulia ni Ofisa Masoko wa Oxford University Press, Hassan S. Shedaffa.

Wanafunzi wakiwa katika banda la Tripod Media, wakipta maelezo kutoka kwa mhusika.

Wanafunzi wakupata maelezo ya jinsi ya kuandaa na kusafisha picha kutoka kwa mhusika wa Banda ya Photo Point.

Wanafunzi wa Darasa la Saba katika Shule ya Msingi ya Muhimbili, wakisebeneka na song la J- Matine ukumbini humo.

Eti akiwafundisha kucheza watoto hao.

Ofisa Masoko wa Oxford University, John Haraba, akiwafafanulia jambo wanafunzi waliofika katika banda lao.

Baadhi ya wanafunzi wakijisomea vitabu walivyogaiwa katika maonyesho hayo.

Mwalimu wa Shule ya awali ya Lady Made ya Upanga, Jovita Kilua, akiwafundisha watoto kupaka rangi, wakati wa maonyesho hayo.

Mwanafunzi aliyehitimu elimu ya Muziki katika Shule ya Muziki ya Tanzania House Of Talent, THT, Omary Haji, akipiga gitaa na kuwaimbia wanafunzi waliofiki katika banda hilo kujionea kazi za wasanii hao.

Wanafunzi wa Chekechea , Zikimbona J (kushoto) na Jiya, wakijifunza kuchora na kupaka rangi.

Baadhi ya mabanda yaliyoshiriki katika maonyesho hayo.
No comments:
Post a Comment