akimkabidhi funguo ya pikipiki mshindi wa Promosheni ya Chomoka na Pikipiki na Zantel kwa
wakazi wa Mwanza, Mara na Musoma Dominick Kawishe (kulia) mkazi wa Magu, baada ya kuibuka mshindi katika Promosheni hiyo inayoendelea kwa Kanda ya Ziwa. Picha kwa hisani ya Zantel
No comments:
Post a Comment