Habari za Punde

*BASI LA WANAFUNZI LAGEUZWA LA KUSANYA?

Eti jamani nini maana ya hili basi la wanafunzi?

Wanafunzi wa Shule za Sekondari za jijini Dar es Salaam, wakiwa wamejazana kituo cha Daladala cha Mbuyuni Tegeta, wakisubiri usafiri, hali ya kuwa mbele yao kuna basi maalum kwa ajili yao lililosimama kuwapakia na upande wa pili akionekana raia pia akiwania kupanda basi hilo kwa kupitia dirishani sasa mdau we unaonaje je basi hili lilikuwa likisanya abiria ama kupakia wanafunzi? na je wanafunzi wanaotakiwa kupanda basi hili ni wa shule zote ama kuna shule zilizoainishwa? kazi kwako mdau......

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.