Kwa kawaida wanawake wa Kiarabu ni tabu sana kuwapiga picha na wakati mwingine huwa wanaficha sura wakati wakiona kamera inawalenga lakini hapa cheki mapozi yao wakati wakifotolewa na jamaa huyu lakini eti wameficha sura zao sasa sijui picha hii inamaana gani....
Ebwana eeeh!Biashara ni matangazo na pia ni ubunifu jamaa huyu ni muuza kahawa tu wala si mwanamitindo, lakini biashara yake hupendwa na kila mtu kutokana na jinsi anavyopenda kuavaa....
Dereva huyu vipi jamani anajiamini nini kutembea namna hii barabarani???
No comments:
Post a Comment