Habari za Punde

*CHEKA KIDOGO NA VIJIMAMBO


Jamani eeeh! hebu angalieni maajabu haya eti na Mbwa pia amesimama sambamba na binadamu ili apekuliwe Je hii iko sawa??? Sasa sijui mbwa huyu atapekuliwa wapi na nini,,,, we ulishawahi kuona mbwa anapekuliwa? tena chek pozi lake basi utachoka.....
Eti Mjenzi wa nyumba hii alikuwa na maana gani? Je umeelewa Mdau wa Sufianimafoto maana halisi ya picha hii? Ni kwamba hebu angalia juu kibaraza hicho kina dirisha lakini kibaraza cha chini hakina dirisha wala mlango je ramani hii na kibaraza hiki kinamaana gani???


Eti Farasi wapo aina ya BWM kama huyu mcheki, inaelekea anatoka nduki huyu balaa....

Hapa ni mdogomdogo litafika tu haina haja ya kukodi Pick Up kutoa mijihela kibaaaaaaaao.

Dereva huyu alikuwa na haraka kiasi gani hadi kufikia kuondoka na mpira wa kituo cha mafuta?





No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.