Meneja Mkuu wa Wakala wa barabara, (TANROADS), Ephraem Mrema (kushoto), mwakilishi Mkuu wa Kampuni ya China Henan International Cooperation Group Limited, Li Yang na Naibu mwakilishi wa Kampuni hiyo, Liu Xiaobo wakisaini Mkataba wa mradi wa kutengeza barabara yenye urefu wa Kilomita 59. 10 kutoka Kyaka mkoani Kagera hadi Bukene. Jumla ya miradi nane yenye Kilomita 525 itakayogharimu Sh Bilioni 593.58 ilisainiwa jijini, Dar es Salaam leo kwa Kampuni tofauti.
Arsenal wanavutiwa na mshambliaji wa Newcastle United pamoja na Olise
-
Arsenal wana nia ya kutaka kumnunua mshambuliaji wa Newcastle United
Alexander Isak na winga wa Crystal Palace Michael Olise msimu huu wa joto,
limeripot...
40 minutes ago
No comments:
Post a Comment