Habari za Punde

*MO DEWJ ATEMBELEA VIJIWE VYA WAZEE SINGIDA KIAINA

Mmiliki wa timu ya African lyon, Mohammed Dewji, akifurahia mchezo wa bao wakati akiwa kwenye mchakato wa kura za maoni (CCM) akiwania kutetea nafasi yake ya Ubunge wa Singida mjini. Hapa ni wakati alipokuwa akitembelea vijiwe vya wazee wa mjini Singida 'kujichanganya kiaina'. Picha na Nathaniel Limu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.